KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
17Kafikisha magoli mangapi!?
Coastal naye lazima akaze
Ntiba ana mangapi!?
Hapana,vya bure ghali.Si unaona bure ilivyowagharimu kwenye ubwabwa mpaka mkatema bungo la Feisal? Acha nigombee kwa jasho languNjoo uchukue mitano
KiatuuHIVI HAYA MAKOLO YANAGOMBEA KITU GANI?UBINGWA AU UPUUZI GANI YANAGOMBEA??
16Ntiba ana mangapi!?
Hawanaga vibe...nawaza isingekuwepo Simba nchi ingepoa sanaYanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Kama wake wenza...wanavyosikiliziaYanga wana kiherehere na hawana akili kweli.
Uzi huu ni wa updates za Simba. Wa Yanga upo huko, umedoda..
Badala wakajae huko kwenye uzi wao, wanakuja kupayuka humu.
Yani wamejazana hapa kuleta shombo zao tuYanga wana kiherehere na hawana akili kweli.
Uzi huu ni wa updates za Simba. Wa Yanga upo huko, umedoda..
Badala wakajae huko kwenye uzi wao, wanakuja kupayuka humu.
WanaboaaYani wamejazana hapa kuleta shombo zao tu
Sana,wana vihere here kwa shughuli iso wahusu.Wanaboaa
Madunduka kwan hua mnalipwa hiz commentsYanga wana kiherehere na hawana akili kweli.
Uzi huu ni wa updates za Simba. Wa Yanga upo huko, umedoda..
Badala wakajae huko kwenye uzi wao, wanakuja kupayuka humu.
AHAAA KUMBE KUNA KOMBE LA KIATU??DUUH KWELI MAKOLO MBUMBUMBU!YAANI DUNIA HAIISHI VITUKO!LEO HII MAKOLO WANAGOMBEA KOMBE LA KIATUKiatuu