FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Hii mechi itaishia kwa 5:4 hapo 3 akifunga Saidoo Ntiba ,juzi walisema watatumia kila mbinu jamaa achukue kiatu cha dhahabu.
 
Sisi kiatu hatukitak ila chenyewe ndo kinatutaka
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Yanga uzi wao umedoda.

Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.

Wanachojua ni Mayele tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwa nini kwenye uwanja wa Uhuru Azam wasiwe wanaweka camera zao upande ule wa pili? Upande wanaoweka camera ziko chini sana.
 
Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga

Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa
Kama sio hamsa basi kifurushi cha wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom