BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Hii mechi itaishia kwa 5:4 hapo 3 akifunga Saidoo Ntiba ,juzi walisema watatumia kila mbinu jamaa achukue kiatu cha dhahabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Yanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Litimu lao la Utopolo bila Mayele Diara ni Wepesi Kama PambaYanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Wakuu tufurahi kwa masaa haya ila tusisahau bandari yetu
Wanayanga wenzangu wanafeli sanaYanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Kama sio hamsa basi kifurushi cha wikiLigi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga
Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa
Asije akaumia tu..Mayele leo atalia sana asipofunga maana anakosa magoli huko
Ukipania tu lazima ukose. Atulie, aombe Sub akafanye uchawi wa Bakongo huko Ntiba asipate goli lingineMayele leo atalia sana asipofunga maana anakosa magoli huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu tufurahi kwa masaa haya ila tusisahau bandari yetu