FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

TFF watakuwa wanaangalia timu zilizopata penati ili zifanyiwe uchunguzi wa kuoanga matokeo

Huku kwetu watu wanazifanya freekick kuwa ni hatari kuliko penati
 
Haya mipira iishe bingwa ashapatikana na mfungaji bora tumemjua
 
Back
Top Bottom