FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Sijajua benchi wapo wachezaji gani ila Kocha afanye sub kuweka watu wa mbele watakaokuwa wanamiliki sana mpira eneo la mbele.

Hiyo itafanya pasi ziwe zinamfikia Saido.

Ukiangalia mechi ya Yanga utaona Mayele anakosa mabao mengi kwasababu fowadi zake zinamiliki sana mpira eneo la kati.

Nafasi kama zile angekuwa anatengenezewa Saido angetoka na hattrick kipindi cha kwanza.

Goli alilofunga ni individual skills maana sio rahisi kwa mipira kama ile kufunga.
 
Nashindwa kuelewa sasa.
 
Tulia mayele achukue kiatu
 
Makolo bhn hayana kombe wala medali imebaki kushadadia kiatu πŸ˜„
 
Umeniwahi kuandika!!
 
Hii mechi ni rahisi sana maana sio ya kutaka ushindi. Saido akitoka na goli 2 kipindi cha pili atakuwa amemaliza kazi.
 
Kocha akichelewesha Sub basi kamkatili Saido kuchukua kiatu.

Safu ya mbele ukimtoa Saido yote leo ni mbovu.

Na sio forwards tu hata beki nayo leo haieleweki, sa sijui ndio showoffs kwasababu ni mechi isiyokuwa na pressure?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kibabuuu anahah na makolo kwinyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…