Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sijajua benchi wapo wachezaji gani ila Kocha afanye sub kuweka watu wa mbele watakaokuwa wanamiliki sana mpira eneo la mbele.
Hiyo itafanya pasi ziwe zinamfikia Saido.
Ukiangalia mechi ya Yanga utaona Mayele anakosa mabao mengi kwasababu fowadi zake zinamiliki sana mpira eneo la kati.
Nafasi kama zile angekuwa anatengenezewa Saido angetoka na hattrick kipindi cha kwanza.
Goli alilofunga ni individual skills maana sio rahisi kwa mipira kama ile kufunga.