OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mayele ana nafasi ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa NBC PL 2013 ikiwa TFF haitafanya figisu kama hizi mechi 2 zilizompatia Saidoo ufungaji boraFull Time. Yanga 2 Prisons 0.
Fiston Mayele 1
Yannick Bangala 1
Angepitwa angejiua yuleView attachment 2651332
PYEEEE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee hii ndiyo maana ya nguvu mojaMayele ana nafasi ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa NBC PL 2013 ikiwa TFF haitafanya figisu kama hizi mechi 2 zilizompatia Saidoo ufungaji bora
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kwa 💯%Mayele ana nafasi ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa NBC PL 2013 ikiwa TFF haitafanya figisu kama hizi mechi 2 zilizompatia Saidoo ufungaji bora
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Na kweli ni mapimbi mnashindwa kuchua ubingwa mnakomaa na kiatuBila Saido kufunga goli mbili, ligi yetu ingeonekana ni ligi fulani ya mapimbi.
Makofi kwake tafadhali
Hongereni kwa kubeba ubingwa Makolokolo FC 2023 [emoji16]Poleee hii ndiyo maana ya nguvu moja
Tena walienda kucheza na CSKA Moscow eti!! 🤔Timu inaenda kuweka kambi Dubai kutafta kiatu
Mbona ichi Cha mayele we kolo,Sheria unazijua ?Amechukua kiatu shirikisho kwasababu ile michuano hakuwepo Saido
Ligi yeyote ambayo Saido yupo, Mayele hawezi kuchukua kiatu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kwa kuwa Mshabiki wa Makolokolo FC na kuwa Mbumbumbu...In Aden Rage's voice [emoji38]Amechukua kiatu shirikisho kwasababu ile michuano hakuwepo Saido
Ligi yeyote ambayo Saido yupo, Mayele hawezi kuchukua kiatu.
Maneno ya mkosajo hayoTimu inaenda kuweka kambi Dubai kutafta kiatu