Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kiatu bila kombe ni uuzaji wa bandari tu
Parade bila kiatu ni kigodoro tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Parade bila kiatu ni kigodoro tu
Kiatu hamna sababu Saidoo ana magoli ya penalty ilihali Mayele hana penaltywereva!
Tuna kiatu cha ufungaji bora!!
Kumbe amefunikwa ulisomea wapi wewe mbumbumbuUnatikisa matiti mwaka mzima, unakuja kufunikwa goli 7 mechi 2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio wanayoyawezaa!Ila maisha haya imefikia hatua mikia wanashangilia kiatu ambacho mpaka sasa hakijajulikana ni cha nani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiatu ni cha Mayele maana Saidoo ana magoli ya penalty mawili yakitolewa anabakia na magoli 15 kulingana na sheria za TFF na FIFA [emoji23]Ila maisha haya imefikia hatua mikia wanashangilia kiatu ambacho mpaka sasa hakijajulikana ni cha nani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Hivyo furaha ya mikia ni ile Seido tu kuwa goli sawa na Mayele. Lol 😂😂😂Kiatu ni cha Mayele maana Saidoo ana magoli ya penalty mawili yakitolewa anabakia na magoli 15 kulingana na sheria za TFF na FIFA [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kiatu ni cha Mayele maana Saidoo ana magoli ya penalty mawili yakitolewa anabakia na magoli 15 kulingana na sheria za TFF na FIFA [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ila maisha haya imefikia hatua mikia wanashangilia kiatu ambacho mpaka sasa hakijajulikana ni cha nani. 😂😂😂
Sema kwa sauti ya chini
Huuu mwaka wamezurura sana. Acha wapumzike sasa🤣🤣🤣Ila maisha haya imefikia hatua mikia wanashangilia kiatu ambacho mpaka sasa hakijajulikana ni cha nani. 😂😂😂
Endeleeni kujilisha upepoHahahaaa. Dj walete Scars na OKW BOBAN SUNZU . 😂😂😂😂
Kabisa yaani. Wapumzike sasa.Huuu mwana wamezudura sana. Acha wapumzike sasa🤣🤣🤣