FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

Hao Prisons wameenda jukwaani kufanya nini?
 
Mwanzo walikua wanashangilia robo fainali tukaichakaza wamebaki kujifariji na kiatu cha kuiba
Ila maisha haya imefikia hatua mikia wanashangilia kiatu ambacho mpaka sasa hakijajulikana ni cha nani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huuu mwana wamezudura sana. Acha wapumzike sasa🀣🀣🀣
Kabisa yaani. Wapumzike sasa.

Japo bado jumatatu wana kibarua kingine tutakapocheza na Azam. πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…