Hao wetu tu.
Tunaomba update huku kwetu tanesco wamechukua umeme so TV zimezimaMbona kuna makelele banda umiza...
Hawa ni skautiDah hawa mashujaa yaani ata nginja nginja za kuwaparamia yanga sioni. Hawa wanajeshi kweli au utani
Uyu aziz anafikirisha sana , je ni brand!? Style tu au masherti ya kuzimu!????Kuna siku Azizi Ki ataingia na chupi uwanjani na tusigundue
View attachment 3180273View attachment 3180274View attachment 3180275
Kabisa...mpaka sasa nilitegemea mchezaji mmoja wa ya ga kasharusha kimo cha mbuziHawa ni skauti