SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Mimi ni Simba, ila msimu huu Yanga watatuua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaamini walidhani wanaweza kuingia kwenye rekodi fulani [emoji23]Wameyakanyaga. [emoji28]
Hawa ndio Jkt ninaowajua mimi sasa Mkuu. 😅JKT Tanzania wameanza butua butua [emoji23]
Yanga 0 JKT 3.Haya ngapi ngapi huko?
Mbona wacheza Sumo hamuwasemi😃Morroco anakunja kistaarabu ila mwana sasa ndo kaifanya pampasi
Kweli wameyakanyagaWameyakanyaga. 😅
Pole Mkuu. 😂Uwiiiiiii
Welcome back the CitizenHeee kumbe tunaongoza mbili duuh......kwa Yanga kila goti litapigwa
Uko sahihiJkt wakitaka kurudisha goli,wakibadili mfumo wa mwanzo,watapigwa nyingi Hawa,wazuie vile vile tu,waache kimbele mbele Cha kutaka kurudisha goli
TuliaMkuu Kambi ya Fisi uko wapi?
Hata hatuagani?[emoji23]
labda watuzamishe kwa rahaJkt Tanzania. Zamisha hao 🐸 frog
Ingia uwanjani ukawasaidieJKT wanaleta ujinga hapa
Wamebadilisha mfumo in wrong timePole Mkuu. 😂