Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Pepo unaweza kuiona maana unasema kweliMimi ni Simba, ila msimu huu Yanga watatuua!
Hamna mtu paleKon Kon ni kama Sarpong mpya
wataingia kwenye rekodi ya kufungwa chache 4 bilaHawaamini walidhani wanaweza kuingia kwenye rekodi fulani [emoji23]
Ngoja niiwahi hata dk 20 za mwisho......nikashuhudie hizo tano zijazoYaani wanatamani muda uishe na ndo Kwanza Pira Gamondi haliaanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walijipapatuua weee sasa hivi wamerudi kwenye uhalisia wao.Kweli wameyakanyaga
Na zile sub zao 3 ndo wameharibu kabisa.Wamebadilisha mfumo in wrong time
Ni uwanja wa Azam lakini ujueMechi za Yanga kiingilio kiongezwe
yuko sawa sema bado ajakaa sawa tuHamna mtu pale
lisha wakuta sema liongezwe uzito ziwe 4Lolote baya liwakute JKT
ππ π πKuna uzi wa mhasibu wa jf naomba tukaupe joto huko
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia
Nilishauri hivi pia.Jkt wakitaka kurudisha goli,wakibadili mfumo wa mwanzo,watapigwa nyingi Hawa,wazuie vile vile tu,waache kimbele mbele Cha kutaka kurudisha goli