Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
🤦🤷Kupingana na ukweli sawa na kubisha kuwa haupo hai 🤣🤣🤣
Pole Mkuu.Wanazingua kinyama
😍😍😍😍💚💛💚💛💚Ushabiki pembeni, UTOPOLO ni wa moto.
Kwa namna hii ligi itazidi kukuaSema tukiweka utani pembeni, jinsi Yanga wanavyoshinda mechi zao kwa goli nyingi inawejengea confidence kubwa.
Ukiona timu yako inaongoza ligi hii ujue Yanga haijachezaImescreenshot msimamo kabisa, maana tutakuwa hatushuki.
Walianza vizuri sana.Pole Mkuu.
Wala si maono ni jambo lilijulikana kwa mwanamichezo yeyoteKweli Una maono [emoji16][emoji16][emoji16]
Max ni mfia timu kama Ngolo Kante yaani yupo kila sehemu na anacheza kwa passion kubwa…Class