Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Mfamaji haishi kutapatapa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] bahasha fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfamaji haishi kutapatapa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] bahasha fc
😂😂 duuhSikutegemea hilo goli tusi zito limenitoka nilipoona inavyompita kipa...😂
Yanga hoyeee
Tuingie studio mkuu tukatoeYanga wanabebwa......
Yanga wananunua mechi.....
Yanga wanakutana na timu dhaifu....
Yanga wanabahatisha......
Yanga hawatafika mbali kimataifa....
Ndio chorus pekee tuliyobaki nayo Simba kwa sasa.
Wale upepo tuNaomba tukikutana nayo useme hivi kwenye komenti za awali kabla ya game... Na mashujaa vipi???
Wanashangaa kwanini refa hamalizi mpiraJKT Tanzania wanatamani mpira uishe Ila dakika hazisogei [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Nilisema hapa🥶🥶Basi Max Malipo anavyopenda sifa nae atafunga
ProvedDuh!... Utopolo kwa Sasa ni wa-moto balaa, wapo vizuri sana
Poleni mbona mmesha lowa😂Kila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu