FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

yanga akiwa anacheza unaweza laumu timu pinzani kwamba wanajifanyisha ama hawataki kukaba

sasa akutane na timu yako ndo utajua yanga ana jua na anajua tena na utaomba mpira uwahi kuisha
 
JKT Tanzania wanatamani mpira uishe Ila dakika hazisogei [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga wanabebwa......
Yanga wananunua mechi.....
Yanga wanakutana na timu dhaifu....
Yanga wanabahatisha......
Yanga hawatafika mbali kimataifa....

Ndio chorus pekee tuliyobaki nayo Simba kwa sasa.
😀😀😀Goli la Yao Yao tumebebwa kabisa
 
Back
Top Bottom