Hiyo hata mwiingie na Sangoma wenu wote na timu yenu uwanjani,lazima tuwakande7.Ile ni Derby mjomba ubora sio kigezo [emoji2]
Tuacheni masihara jamani, hii Yanga ni ya moto sana.
WanaSimba tujipange vyema msimu huu, hawa utopolo wamejipanga fresh.
Ulikuwa wapi mkuuMnara unasoma 4G huko!!
Uko sahihiTukiisema Simba Yetu Kuwa Wachezaji Wanachelewa Kuingia Kwenye Mfumo tunaambiwa Tusimpangie Kocha, Max Imemchukua Mechi Moja Tuuuu Kuonesha Nini anacho, Same Kwa Pacome na Yao, Wakati Simba Bado Tunajitafuta
Tuliaaa mwendo ni 5g tu.Ila kwa 🦁 itakuwa 7GHawa jkt wanataka kuwaiga wenzao wajitahidi Sasa.😧
Nipo naangalia mubashara. Ni 5G sasa. 😃Ulikuwa wapi mkuu