Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
[emoji23]Nipo naangalia mubashara. Ni 5G sasa. [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Nipo naangalia mubashara. Ni 5G sasa. [emoji2]
Kocha hana mipango yule, hafundishi soka burudani.. selection ya kikosi mbovu, usajili wa hovyo(lawama kwa viongozi kwenye hili)Sisi Robertinho kila siku yupo bize na Bocco
Kwani hamjakutana nao bado?Yanga kwasasa inagawa Dozi ya Khamsa Khamsa ,hao Makolo wajipange hasa wakija hovyo wanakula 8.
Ligi bado mbichi halafu bado Utopolo wanakutana na vibondebado na mtauliza sana
Kwani hamjakutana nao bado?
Ataongezwa mtu zingine hapa yaan ni mwendo wa 5 6 7 8 9 10Shughuli inaishia hapa
mbona ndo usajili ulio sifiwa sana na wachambuziKocha hana mipango yule, hafundishi soka burudani.. selection ya kikosi mbovu, usajili wa hovyo(lawama kwa viongozi kwenye hili)
Hii ni moja ya comment fupi toka kwako,hebu sema chochote kuhusu Yanga hii maana wewe ni mchambuzi mzuriJKT wamechoka
Kuna watu walimuita mzeeInabidi tumtafutie Max lishangazi la Magomeni au Tabata ili apungue kasi hii sasa sifa