Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKocha hana mipango yule, hafundishi soka burudani.. selection ya kikosi mbovu, usajili wa hovyo(lawama kwa viongozi kwenye hili)
hata mwaka jana mlisema mechi 5 za mwisho hahahaha ilikuwajeLigi bado mbichi halafu bado Utopolo wanakutana na vibonde
Simba nguvu moja 💪
Piga ua huu msimu Simba tunanyanyua NBC Premier League
Mark my words
😕Tukiisema Simba Yetu Kuwa Wachezaji Wanachelewa Kuingia Kwenye Mfumo tunaambiwa Tusimpangie Kocha, Max Imemchukua Mechi Moja Tuuuu Kuonesha Nini anacho, Same Kwa Pacome na Yao, Wakati Simba Bado Tunajitafuta
Naona mnamsaka mchawi[emoji23]Kocha hana mipango yule, hafundishi soka burudani.. selection ya kikosi mbovu, usajili wa hovyo(lawama kwa viongozi kwenye hili)
Ile Maxi Day imempa Busta kubwaMax ni mfia timu kama Ngolo Kante yaani yupo kila sehemu na anacheza kwa passion kubwa…Class
Mkuu hii Simba tofauti na ya msimu uliopitahata mwaka jana mlisema mechi 5 za mwisho hahahaha ilikuwaje
Kupoteza mudahuyu mchezaj wa JKT anaingizwa dk zishaisha inamaan gan
🙁Hii yanga inatia mpaka woga
😂😂😂Zinatosha.
Acheni misifa