Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Mpira ukiwa mzuri unaona kama umeisha harakaIpo haja ya game zetu dakika ziongezwe jamani. [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ukiwa mzuri unaona kama umeisha harakaIpo haja ya game zetu dakika ziongezwe jamani. [emoji23][emoji23]
🤷Kupoteza muda
JKT sio nyepesi kivile.Ligi bado mbichi halafu bado Utopolo wanakutana na vibonde
Simba nguvu moja 💪
Piga ua huu msimu Simba tunanyanyua NBC Premier League
Mark my words
Mtoto mkalii ..💚💛💚💛💛💚💚💛💚💛💚💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Kwani hamjakutana nao bado?
Natembea na comments zako naishia kucheka tu😃Sisi Robertinho kila siku yupo bize na Bocco
Kabisa yaani Mkuu.Mpira ukiwa mzuri unaona kama umeisha haraka
ya mark wewe, sisi hatuna shida nayo.Ligi bado mbichi halafu bado Utopolo wanakutana na vibonde
Simba nguvu moja [emoji123]
Piga ua huu msimu Simba tunanyanyua NBC Premier League
Mark my words
KabisaMpira ukiwa mzuri unaona kama umeisha haraka
Naona bado unafurukuta, tukanyage shingo kabisaLigi bado mbichi halafu bado Utopolo wanakutana na vibonde
Simba nguvu moja 💪
Piga ua huu msimu Simba tunanyanyua NBC Premier League
Mark my words
Hizo timu zote ambazo Yanga kazipiga 5 ni dhaifu mwendo utakuwa ni huohuo hata Simba akikutana nazoJKT sio nyepesi kivile.
YAnga hawakukosea kumuandalia Maxi DayHuyu maxi apewe URAIA
Ushayaona inatoshaya mark wewe, sisi hatuna shida nayo.
Kama Chama.Utopolo wanaanza kumuabudu Maxi
Kinatoka chuma kinaingia chuma,kuna Yao yao Dakika 90 anapanda na kushuka......Shabani Juma alikuwa anairingia Yanga bila shaka nayeye saizi anashangilia kumuangalia Yao YaoYanga wamelamba dume kwenye usajili ni hatari tupu ni zaidi ya uchawi