Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Na hao mikia waroge sana kama kawaida yao ndio watapata hata drooDah mi kiukweli mechi ngumu Kwa Yanga msimu huu itakua ya Simba Tu hizo zingine ni mateso Tu Kwa wapinzani [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao mikia waroge sana kama kawaida yao ndio watapata hata drooDah mi kiukweli mechi ngumu Kwa Yanga msimu huu itakua ya Simba Tu hizo zingine ni mateso Tu Kwa wapinzani [emoji38]
Wewe unatazama mechi za Yanga kwa wasiwasi sanaHawa ni wazuri kuliko Dodoma Jiji tuliowapiga 2
Ujumbe uko pichani soma mwenyeweHii ni moja ya comment fupi toka kwako,hebu sema chochote kuhusu Yanga hii maana wewe ni mchambuzi mzuri
Lakini hii si ni mechi ya Yanga jamani? Simba imeingiajee hapa?😃 Mtakua mnaionea tuSimba wasipomtimua kocha tusionane wabaya
Kocha hana mipango yule, hafundishi soka burudani.. selection ya kikosi mbovu, usajili wa hovyo(lawama kwa viongozi kwenye hili)
Hahahaha mikia lini mnakuja kmmk 😂😂😂😂 5-0
simba hii impige kmc goli 5? [emoji23][emoji23] Acha masikhara mzee hata Yanga warudiane leo na Kmc hashindi goli 5Hizo timu zote ambazo Yanga kazipiga 5 ni dhaifu mwendo utakuwa ni huohuo hata Simba akikutana nazo
Hapana natazama kwa macho yote mkuu.Wewe unatazama mechi za Yanga kwa wasiwasi sana
Ipo haja ya game zetu dakika ziongezwe jamani. [emoji23][emoji23]
Naona umeanza kufanya vurugu wewe, unatafuta ban kinguvu🤣🤣
Hawa JKT Ni Zaidi ya KMCsimba hii impige kmc goli 5? [emoji23][emoji23] Acha masikhara mzee hata Yanga warudiane leo na Kmc hashindi goli 5
Tunza maneno yakosimba hii impige kmc goli 5? [emoji23][emoji23] Acha masikhara mzee hata Yanga warudiane leo na Kmc hashindi goli 5
Watapinga
Tusubiri tu Simba atakutana nao ndio utanielewa ninachomaanishaHapana natazama kwa macho yote mkuu.
Hii timu JKT walikuwa na uwezo wa kudroo au goli kubaki lile moja.
Yanga wanakamatika kirahisi sana.
Ukifunguka na kufuata mfumo wake lazima ukae.
Ipo haja ya game zetu dakika ziongezwe jamani. 😂😂
Naunga mkono hoja yako.Hawa JKT Ni Zaidi ya KMC
Wasichukuliwe poa kisa wamefungwa tano
Wakikutana na wajinga wajinga wanawatembezea kipigo haswa