FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Tanga wanaendelea na mapishi ya vitafunwa
Screenshot_20230829-211117_WhatsApp.jpg
 
Hapana natazama kwa macho yote mkuu.

Hii timu JKT walikuwa na uwezo wa kudroo au goli kubaki lile moja.

Yanga wanakamatika kirahisi sana.

Ukifunguka na kufuata mfumo wake lazima ukae.
Umeongea ukweli mtupu Jombaa. Jinsi Yanga wanavyocheza sasa hivi nawafananisha na Manchester City ukijifanya unataka kucheza nao bumper to bumper yaani uoneshane nao ufundi utafungwa kirahisi sana si chini ya goli 3.

Njia salama ya kucheza na Yanga unapaswa ku-absorb pressure kama una-park bus vile halafu unatumia nafasi ya gap wanalolitengeneza muda ambao wanakuwa wapo kwako ila ubaya pia wana golikipa anaweza ku-cover gap vizuri. Sio rahisi kucheza na Yanga kwa sasa hivi, pana quality kubwa mno baina ya wachezaji waliopo kikosini.
 
Back
Top Bottom