bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Next season tusiende kuzurula nchi za watu tukae bunju hawa jamaa wanatishaKwenye kipindi hiki uliwahi kuwakumbusha kujenga timu ili waepukane na khamsa?
View attachment 2732783
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next season tusiende kuzurula nchi za watu tukae bunju hawa jamaa wanatishaKwenye kipindi hiki uliwahi kuwakumbusha kujenga timu ili waepukane na khamsa?
View attachment 2732783
Aliyezurula nchi za watu si alikutana na aliyekaa kwenye nchi yake?Next season tusiende kuzurula nchi za watu tukae bunju hawa jamaa wanatisha
Hongera, mkeka umetickYanga 5 - 0 JKT
Aaaameen na iwe hivyoHongera GSM,
Hongera injinia Hersi Said.
Hongera kocha na fundi Gamondi.
Hongera kwa wachezaji wote wa Yanga.
Hongera wanachama na mashabiki wa Yanga.
Yanga hii naiona ikiwa semi final CCL.
Alamsiki.
AahaaaaPacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.
Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ipo siku zitalipwa tu
Hongera, mkeka umetick
Penalty hua hazina mwenyewe, sema uliona pira ulilopigiwa ,Aliyezurula nchi za watu si alikutana na aliyekaa kwenye nchi yake?
Matokeo yalikuwaje?
Afu sikukuona kabisa ile siku, ulikuwa wapi?
Penalty hua hazina mwenyewe, sema uliona pira ulilopigiwa ,
Maana ulikua unaomba Mpira uishe uende penalty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AahaaaaaView attachment 2732790
Admin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chunga sana lasivyo utaliwa pesa zakotubet tuliyobetia? bet ndani ya bet.
Aahaaaa,ulitaka tuweke kikosi Gani mkuu!?Mnaweka kikosi cha kwanza kwa timu iliyopanda daraja kweli?
Ligi kuu hamna shida, wala hatushangai,wenye walisema bila mayele hatuendi mbali
HAPA NI WAPI????? HAPA NI WAPI? WANALUNYASI HAPA NI WAPI?
Kabisa mkuuY
YAnga hawakukosea kumuandalia Maxi Day
Kama dakika 90 za bila penati zina mwenyewe kwanini haukushinda?Penalty hua hazina mwenyewe, sema uliona pira ulilopigiwa ,
Maana ulikua unaomba Mpira uishe uende penalty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikosi cha pili mkuuAahaaaa,ulitaka tuweke kikosi Gani mkuu!?
Moloko?Pacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.
Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]