FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Next season tusiende kuzurula nchi za watu tukae bunju hawa jamaa wanatisha
Aliyezurula nchi za watu si alikutana na aliyekaa kwenye nchi yake?

Matokeo yalikuwaje?

Afu sikukuona kabisa ile siku, ulikuwa wapi?
 
Hatari taslimu.
JamiiForums-1535874352.jpg
 
Pacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.

Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aahaaaa
 
Aliyezurula nchi za watu si alikutana na aliyekaa kwenye nchi yake?

Matokeo yalikuwaje?

Afu sikukuona kabisa ile siku, ulikuwa wapi?
Penalty hua hazina mwenyewe, sema uliona pira ulilopigiwa ,
Maana ulikua unaomba Mpira uishe uende penalty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Penalty hua hazina mwenyewe, sema uliona pira ulilopigiwa ,
Maana ulikua unaomba Mpira uishe uende penalty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama dakika 90 za bila penati zina mwenyewe kwanini haukushinda?
 
Back
Top Bottom