FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Pacome hajacheza.
Kibwana hajacheza.
Sure Boy Hajacheza
Faridi Mussa Hajacheza
Skudu Hajacheza.
Gift Hajacheza.
Mauya Hajacheza.

Bado wameshinda Goal tano, this can be the Biggest Squad ever happen in football history of africa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tujenge timu hawa jamaa hawana mzaha tutakula Khamsa
Kwenye kipindi hiki uliwahi kuwakumbusha kujenga timu ili waepukane na khamsa?

1693333896021.png
 
Umeongea ukweli mtupu Jombaa. Jinsi Yanga wanavyocheza sasa hivi nawafananisha na Manchester City ukijifanya unataka kucheza nao bumper to bumper yaani uoneshane nao ufundi utafungwa kirahisi sana si chini ya goli 3.

Njia salama ya kucheza na Yanga unapaswa ku-absorb pressure kama una-park bus vile halafu unatumia nafasi ya gap wanalolitengeneza muda ambao wanakuwa wapo kwako ila ubaya pia wana golikipa anaweza ku-cover gap vizuri. Sio rahisi kucheza na Yanga kwa sasa hivi, pana quality kubwa mno baina ya wachezaji waliopo kikosini.
Hawajakutana na timu bora,

Al merreik [emoji23]
 
Back
Top Bottom