Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ndipo mlipogoteaMwendo wa 5G
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo mlipogoteaMwendo wa 5G
UtooooNaona bado unafurukuta, tukanyage shingo kabisaView attachment 2732750
inaweza kuwa aibuTulieni Tulieni Simba watapigwa khamsa kama walivyopigwa wenzao achupuuuchaaaaa!!
Yule mchezaji mlie mkwapua anaitwa naniYanga wamelamba dume kwenye usajili ni hatari tupu ni zaidi ya uchawi
sub iko fullKinatoka chuma kinaingia chuma,kuna Yao yao Dakika 90 anapanda na kushuka......Shabani Juma alikuwa anairingia Yanga bila shaka nayeye saizi anashangilia kumuangalia Yao Yao
Unaleta zamadamu, leta picha mikia imepiga mtu 5, 2022/2023 , 2023/24
Umeona swahiba,pira burudani yan unaangalia hadi utaki uishe aiseeIpo haja ya game zetu dakika ziongezwe jamani. 😂😂
Unazungumziaje kile kipindi ambacho 5G ilikuwa bado haijafika?Jkt wameingia kwenye mfumo wa 5G
Wakaona wameopoa [emoji23][emoji23]Yule mchezaji mlie mkwapua anaitwa nani
Nyie si mnajiita wakihistoria?Unaleta zamadamu, leta picha mikia imepiga mtu 5, 2022/2023 , 2023/24
Kwa hali hii, kwa sasa hata hatuhitaji sana kujua Yanga atacheza na nani mechi ijayo maana kila anayetia pua yake anapokea kichapo cha motooo.Mechi ijayo Yanga anacheza na nani?
Sio rahisi kuwafunga hawa JKT tano sisi.Tena wakija na hii walivyoanza na Yanga tunaweza kutoka nao suluhuHizo timu zote ambazo Yanga kazipiga 5 ni dhaifu mwendo utakuwa ni huohuo hata Simba akikutana nazo
Mkuu hao wanachezea mkono au hata zaidi hamna timu humoSio rahisi kuwafunga hawa JKT tano sisi.Tena wakija na hii walivyoanza na Yanga tunaweza kutoka nao suluhu
Kipindi hicho mfano uliokuwa unatumika kuelezea hii ilikuwa ni BarcelonaMan City au Barcelona
Hawa ni wazuri kuliko Dodoma Jiji tuliowapiga 2Mkuu hao wanachezea mkono au hata zaidi hamna timu humo