chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Yanga 5 - 0 JKTyanga 4 jkt 0
Jirani huu uchawi sasa.Kila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Nimefika Mkuu.Anakuja na Bantu Lady
Hivi serikali bado haijatoa tamko mechi za Yanga bei vibanda umiza iwe kuanzia buku na kuendelea
Ni uzalendo Jirani.Jirani huu uchawi sasa.
BIla kumsahau rafiki yangu wa nguvu Antonnia .Anakuja na Bantu Lady
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] washushe.Hivi serikali bado haijatoa tamko mechi za Yanga bei vibanda umiza iwe kuanzia buku na kuendelea
Hili nalo la muhimu sana best. πHivi serikali bado haijatoa tamko mechi za Yanga bei vibanda umiza iwe kuanzia buku na kuendelea
πππNi uzalendo Jirani.
Imenikumbusha miaka Ile JKT.... JKT forever
Kuna mahali bango linasoma afu3kuna maeneo wamepandisha mpaka 1500.
Nasikia linaangaliwaHili nalo la muhimu sana best. [emoji3]
Na hatujaishia hapo pia kuna Evelyn Salt. πAntonia ni mwananchi? Since when??
What I know is warembo wote wapo kwenye timu ya wananchi.