Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Jamani tunaomba line up ya leo ya mabingwa wa ligi ya NBC 2023 /2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tunaomba line up ya leo ya mabingwa wa ligi ya NBC 2023 /2024
Ndio maana ya KIKOSI KIPANA. sasa subiri zile kenge siku ziambiwe Chama na Baleke hawapo uone vilio vyakePacome, Moloko na Fred wamepatwa na nini?
Gamondi jeuri sana, pacome hata benchi hayupo...Ndio maana ya KIKOSI KIPANA. sasa subiri zile kenge siku ziambiwe Chama na Baleke hawapo uone vilio vyake
Na hapo haujazeeka🙆🙆🙆Kila la kheri JKT Tanzania.
Watanzania tuwe wazalendo Kwa kusapoti jeshi letu
Wamepata majeraha mchezo ulopita Gamond voicePacome, Moloko na Fred wamepatwa na nini?
Nimeona hapa kocha kasema wana majeraha.Mwenyewe nimeshtuka
[emoji1787][emoji1787]Na hapo haujazeeka[emoji134][emoji134][emoji134]
Hakika My dear. 💚💛💚💛💚💛Kwa pamoja tunaitakia chama letu ushindi wa kishindo 💛💚💛💚
Upo chamazi studium au upo kibanda umiza ?Kwa pamoja tunaitakia chama letu ushindi wa kishindo 💛💚💛💚
Kibanda umiza siti ya mbele kabisa.....nmeacha wali jikoni, dakika chache tu yanga wakifanya jambo lao nakimbia homeUpo chamazi studium au upo kibanda umiza ?