Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahaKibanda umiza siti ya mbele kabisa.....nmeacha wali jikoni, dakika chache tu yanga wakifanya jambo lao nakimbia home
Tulia mtoto mdogo wewe haujui kituMliwapa majibu feki
Sahau kwa hilo, mpaka sasa yanga kabanwa mbavu na maafande 😂yanga wakifanya jambo lao nakimbia home
Jkt siyo Kitayose mjue 😂Mpira umeanza Kwa kasi Sana JKT Tanzania wanapiga tuntura hapa lakini Yanga wanaacha waendelee kukanyagana...
Wapo vizuri Wanakaba kama nyuki.Jkt siyo Kitayose mjue 😂
Tuache utani mwananchi kadandia mtumbwi wa vibwengo 😂Wapo vizuri Wanakaba kama nyuki.