adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Pacome atasaidia kulainisha mashambulizi mbele kule.Gamondi toa Aziz Ki ingiza Pacome tuimarishe ulinzi, hali si hali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pacome atasaidia kulainisha mashambulizi mbele kule.Gamondi toa Aziz Ki ingiza Pacome tuimarishe ulinzi, hali si hali
Mpaka sasa wananchi washa panicHii timu ya JKT wasije kufanya ujinga wa KMC
Pacome hayupo hata benchi, ni mashabiki Gani mnashindwa kufutilia hata vitu vidogoPacome atasaidia kulainisha mashambulizi mbele kule.
Usiishi kwa kukariri,Ikiwa Ihefu walivunja mwiko Jkt hawawezi?
Ngoja niangalie kwenye kikosi cha akiba kama yumoPacome aingie mapema leo.
Injinia soooma hiyooo
Goooaaaalll kick.
Na hapo ndipo watakapofungwaHawa maafande Leo wamekuja kuzuia goli tu,na sio kufunga,wote wapo nyuma
Wengine tumerukia kuangalia mechi sio wote wameona kikosi acha ushamba.Pacome hayupo hata benchi, ni mashabiki Gani mnashindwa kufutilia hata vitu vidogo
Mnatakiwa mshukuru maafande kuwakalia nyuma mwiko usije kuwajeruhi mkiukaliaHawa maafande Leo wamekuja kuzuia goli tu,na sio kufunga,wote wapo nyuma
JidanganyeUsiishi kwa kukariri,
Kila timu huwa na technique na formation yake.
Na huyu mjeda atalala na buti leo
Anadhani kila muda ni kufuatilia mpiraWengine tumerukia kuangalia mechi sio wote wameona kikosi acha ushamba.