Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
SaidoAngempa nani pale?
Tuache!! Tutafanya hata paredi ya kuwa na mfungaji bora.simba wanashinda hii mechi kwa manufaa gani sasa
ushindi wa hii mechi haunamantiki yoyote ni ushuzi tuh,Tuache!! Tutafanya hata paredi ya kuwa na mfungaji bora.
[emoji28][emoji28][emoji28]Tuache!! Tutafanya hata paredi ya kuwa na mfungaji bora.
Kikosi kilichoanza ndio Kikosi chetu boraushindi wa hii mechi haunamantiki yoyote ni ushuzi tuh,
tujipange kwa usajili wa maana
Ili tumalize kelele upande wa kuleSaido apige hattrick, halafu mechi ya mwisho apige 4 biahsra iishe
🚮🚮🚮Check na wife wake
kikosi bora kinacheza na hao viweteKikosi kilichoanza ndio Kikosi chetu bora