FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

HT
simbasctanzania-20230606-0002.jpg
 
Baleke asingeumia leo tungeshuhudia hattrick mbili
 
Naona wazee wa kuloga a.k.a kolos waliweka full kikosi kama vile wanagombea ubingwa wa ligi kuu.Au ndio wakifungwa nafasi ya pili wanakosa?
 
Hiki kibabu wakiongeze miaka miwili hapo msimbazi, boli bado ipo ..
 
TFF wakiona hivyo, mechi ya mwisho watahakikisha Yanga anacheza baada ya Simba ili Mayele ajipange
Inayoonekana Mayele kapewa vacation wakiamini hakuna atayeweza kufikisha idadi ya magoli yake kulingana na idadi ya mechi zilizobaki

Wakaiona leo jamaa katia bao 5 usishangae simu ikapigwa jamaa arudi amalizie mechi ya mwisho
 
Back
Top Bottom