Wakati Simba inamtandika Yanga Goli 5 zilikuwa za nini?goli 5 zote izo za nini sasa
AchukueSaido anakitaka kiatu
huu ushindi usitutoe katika lengo la usajili wa manaWakati Simba inamtandika Yanga Goli 5 zilikuwa za nini?
Kutoka kwenye ubingwa wa CAF mpka kiatu cha ligi dhaifuMayele huko aliko kitu kinagonga ile mbaya, anaweza kuambulia patupu tena kama msimu uliopita
hao ni viguruHii timu Inachekesha sana.
Boko tuwe nae tenaMwanangu Bocco anamlisha mipira sana Saido
lakini tayari ana chakimataifa mkononiMtu anaweza kukosa kiatu tena mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzaha mzaha hivi hivi.
Basi sawaaah.lakini tayari ana chakimataifa mkononi
Hiki hata akikikosa wala hana shida. Yani upate kiatu cha CAF alafu uwazie kiatu cha karume?Mtu anaweza kukosa kiatu tena mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzaha mzaha hivi hivi.
Hayo ni mawazo yako, unadhani hata angekuwa Bingwa wangeacha kusajili?huu ushindi usitutoe katika lengo la usajili wa mana
hizi hekaya ndio zinatuponza simbaKama Saido anamfikia Mayele, imagine Phiri asingeumia, si anngekuwa na magoli mara mbili ya Mayele?