OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uto watalazimika kumnunulia magoli mengi Mayele next match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scars hata huweki update kwamba dakika ya ngapi nini kimetokea. Mnakimbilia kuanzisha nyuzi na hakuna mnacho kifanya. Hata huoneshi goli dakika la ngapi na nani amefunga. Tafsiri ya andiko jf ni kama vile msomaji hana chanzo kingine cha taarifa isipo kuwa ulicho kiweka wewe. Sasa wewe hapo umefanya nini ? Jisahihishe au waachie wanao wezaRatiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioniView attachment 2648025
Poleeeeeh wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saido anang'ang'ania mia mbovu mwenzake tayari anahamsini mpya
Mbona hukufanya unyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuonaa anataka kufikiwa ndo mnaanza kuseka hivyo? Mbna mwanzoni mlikua mnatamba nachooo.
Hapo unapokereka ndio umuhimu wake sasagoli 6 za manufaa gani kama si ushuzi