permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ligi ilishsisha siku nyingi, sajilini wachezaji wa kueleweka.Saidoooooooooooooooooooooooooo Gooooooooaooooaooooaooooooool
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ilishsisha siku nyingi, sajilini wachezaji wa kueleweka.Saidoooooooooooooooooooooooooo Gooooooooaooooaooooaooooooool
Hehh!!Hahahahaha Manyele huko aliko sijui kama patalalika leo
Unyamaa ganii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hukufanya unyama
Kwa hio Saidoo mme mnunulia etiUto watalazimika kumnunulia magoli mengi Mayele next match
Unatesekaaaaaaa poleeeeeer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kolo mtabaki kuwa kolo tu...[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sidoo saidoo maviii
Hawezi kulala huu moto wa Saidoo ni nomaHahahahaha Manyele huko aliko sijui kama patalalika leo
Lack of concentration 🤣Malengo ya simba kila siku yanabadilika, sasa team inataka kuwa mfungaji bora
Na mimi naliona hili. Huu mtego wasipouona wataenda kucheza na Azam wakimtegemea Mzize.Uto tafadhalini msimchezeshe Mayele mechi na Prison. Watamvunja mguu akose fainali ya ASFC.
Shauri yenu
😅 Unasahau haraka sana! ChelfikaUnyamaa ganii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na haupati huo.. Mayele mechi ijayo naye anakuja kufanya ntibanyongoNimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama, Saido angetoka na goli 8.