PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Chama la Wana msiniangushe chama languRatiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioniView attachment 2648025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama la Wana msiniangushe chama languRatiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioniView attachment 2648025
Na nyie mmeonyesha nini!?Polisi wameonesha ubora mpaka dakika hizi
Kila la kheri kwenye kufungwaKila la kheri mnyama
Ukorofi huoWa makolo
Wala hata siyo ukorofi,ni mapenzi yangu tu Kwa SimbaUkorofi huo
Wee, usiniambie 🙄Wala hata siyo ukorofi,ni mapenzi yangu tu Kwa Simba
Wee, usiniambie 🙄
Wampige sindano aje atafute magoli amzidi MayeleBaleke ameteguka mguu hapa na muda huu anatolewa nje kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
Wale wa kubetiiiii
YeahhhhhhhhhhWale wa kubetiiiii