FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Polisi wameonesha ubora mpaka dakika hizi
 
Polisi wanakosa bao hapa dakika hii ya 8 baada ya Enonga kuokoa shambulizi kwa kuoiga kichwa mpira na kuwa kona
 
Baleke ameteguka mguu hapa na muda huu anatolewa nje kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
 
15'

Saiiiidooooooooo Goooooooooooal
 
Moderators wana roho mbaya sana uzi wa Makolo hakuna kitufe cha live kama mechi ya Ashanti United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…