FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

John Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Baleke aliyeshindwa kuendelea sababu ya kuumia
 
Vibe la mechi limeshuka. Leo nilitaka kuona baadhi ya tuvitu Baleke alivyokuwa anafanyia kazi kuimprove game yake.
 
Polisi wanapoteza nafasi ya kuandika bao la kusawazisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…