FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Hofu yangu ni kwa Saido anaweza kukosa uvumilivu kusubiri mechi ya pili atafute bao 6

Anaweza akafunga mahesabu na leo tukamtangaza kama top skoa
 
Quwmamake simba mnaniua 25k yangu mbona migoli mingiii ivoo
 
Hofu yangu ni kwa Saido anaweza kukosa uvumilivu kusubiri mechi ya pili atafute bao 6

Anaweza akafunga mahesabu na leo tukamtangaza kama too skoa
Kwani kabla ya mechi ya leo alikuwa na goli ngapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…