Yanga ana kila dalili ya kumchukua Simba dk 65
Hakuna uchawi Simba nao mdebwedo, mashambulizi Yao hayaeleweki.angalieni utopolo wachawi hao.
Mganga wenu kafeli leo ππKila la heri kwa Maprincess wetu. ππ
Huwa ninawashangaa sana watu wanao sherehekea ushindi kwa changamoto za mikwaju ya penati.Mganga wenu kafeli leo ππ
Kikosi cha Simba Queens
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Timu hizo zilifika hatua hiyo baada ya matokeo ya 0-0 katika muda wa kawaida, hivyo Simba itavaana na JKT Queens katika Fainali baada ya kuingia hatua hiyo kwa ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Fountain Gate Princess.
View attachment 2837796
Na ingekuwa magoli ya mikwaju ya penati hayahesabiwi basi ingekuwa halali kwako kushangaa washerehekeaji wa hayo magoli.Huwa ninawashangaa sana watu wanao sherehekea ushindi kwa changamoto za mikwaju ya penati.