OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niher 0 Tanzania 0
Mbona una andika kama upo kibanda umiza cha buza mkuu 😂
Mpira wa hovyo...Kipindi cha pili kimeanza
World Cup qualificationsAfcon au ...
Ameshanyanyuka sasaKibu Denis anafanya nini nje?
ok, asante mkuuWorld Cup qualifications