Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongoza sasa sema kwa papatu papatu
Charles MmombwaNani kafunga?
hao viazi wanaongozaHaji Mnonga
Gooooooooooal
Viazi kweli kweli.hao viazi wanaongoza
Ilikuwepo mbona...Mbona hakuna hamasa yeyote iliyolewa na taifa stars kupitia media, yaani tumestukia tu kuna mechi
Charles M'mombwa ndio kafunga. Anachezea Australia..Haji Mnonga
Kwa kifupi Tunacheza hovyo sana.
Na mbaya zaidi wachezaji hawaonyeshi uzalendo kabisa.
Au wameshajua hatuwezi kabisa kabisa ku qualify?
Mfano tumefunga goli, ila title inasoma 0 - 0 , hii maana yake nini?!Ilikuwepo mbona...
Itakuwa una mambo mengi
Modes sasa.Mfano tumefunga goli, ila title inasoma 0 - 0 , hii maana yake nini?!
Kuna kizazi fulani cha soka la Tz na kiona kinakuja vizuri.Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0
View attachment 2818126
Match haijapewa uzito stahiki.., kila mahali watu wamekomaa na mabango ya Yanga, nimeshajua nini kinadumaza mpira wa bongo. Ni simba na Yanga. Maana wanapika wachezaji wa kigeni wanaoenda kuzipaisha nchi zao, huku sisi tukidumaaModes sasa.
Hilo la kwao
SahihiCharles M'mombwa ndio kafunga. Anachezea Australia..
Sahihi.Match haijapewa uzito stahiki.., kila mahali watu wamekomaa na mabango ya Yanga, nimeshajua nini kinadumaza mpira wa bongo. Ni simba na Yanga. Maana wanapika wachezaji wa kigeni wanaoenda kuzipaisha nchi zao, huku sisi tukidumaa
Mombwa Out.Bora Kibu aingie awatoe pumu.