FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

Watu mnasahau kwamba Morocco tuliwashona 3 Kwa Mkapa wenyewe wanatuogopa

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka uki qualify unaenda kukutana na Germany France England Brazil nk. Bora tu tutoke huku huku kwetu. Tutaaibisha taifa
Kukimbia changamoto ndio udhaifu wenyewe.

Huwezi mshinda adui kama unamwogopa sana.

UNAPASWA ukuatane nae umzoee na ujue udhaifu.

Acha tabia ya ku quit kabla hata hujaanza.
 
Mbona fei ndiyo kaongoza kupiga pass za macho
Imefika saa najiuliza au ni Mimi nilikuwa siangalii sawasawa ila wote wanaotajwa wamefanya kazi kubwa sana
1.Samatta kacheza vizuri sana jana
2.Mnoga alifanya kazi ya beki iwe rahisi
3.Fei ka improve sana uchezaji wake.
 
Team yake mama ni potmouth iko league one England. Daraja la tatu.
Kapelekwa kwa mkopo. National league (daraja la nne) team ya Aldershot.
Aldershot Town Fc ipo National league 5th tier ( kwa maana English premier league ni national league 1st Tier ) .
Gap ni kubwa .
uhakika kuna wachezaji wana talent na uwezo kuliko yeye wapo Tanzania .
 
Kweli Kabisa hakuna mtu mwenye nguvu kama mzize wa kuwaweka mabeki au viungo wakabaji bize matokeo yake hao mabeki na viungo wakabaji walikuwa wanaanzisha mashambulizi na katikati hakuwepo mtu msumbufu wa kukaba au kuanzisha mashambulizi.
Kocha kuna maeneo bado hajajua amweke Nani anabadilikabadilka .
 
Charles Mmombwa

Kwa kifupi Tunacheza hovyo sana.
Na mbaya zaidi wachezaji hawaonyeshi uzalendo kabisa.

Au wameshajua hatuwezi kabisa kabisa ku qualify?
Tff Ina mipango mibovu , wachezaji wanakuwa makini kukwepa kuumia maana vilabu ndiyo vinawalipa vizuri , wakiumia tff haitakuwa tayari kuwahudumia na kuwalipa vizuri .
 
🤣🤣🤣🤣Umenichekesha sana.
Natunza comment yako
 
Kaka tar21 tupo na moroco sasa subiri uone huo ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…