FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.

Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
View attachment 3519672
Tumecheza vizuri sana tu,na wametuzidi kutokana na ubora wa mchezaji mmoja mmoja
 
Kichapo kingine na Uganda kinakuja,ndo kitakuwa kitamu sana.Piga maccm hayo.
 
Pamoja na kwamba Tanzania hawana cha kupoteza kwani ni wazi kwamba hawategemewi kufika popote lakini Nigeria nao sio wazuri kihivyo.

Timu ya Nigeria inacheza chini ya kiwango na bila shaka ndio maana wameshindwa hata kufuzu kombe la dunia hata kwa kupitia mlango wa nyuma.

Mshambuliaji wao Victor Osimhen ana tatizo la kutaka afunge yeye jambo linalowagharimu sana na endapo wakiingia kwenye the round of 16 wanaweza wakapata tabu sana kuvuka kwenda robo fainali.
 
Back
Top Bottom