fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Tumecheza vizuri sana tu,na wametuzidi kutokana na ubora wa mchezaji mmoja mmojaTimu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.
Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
View attachment 3519672
Imefungwa jana akiwa anaangalia..Timu ya samuya
Kichapo kimewafikia lakini...Tumecheza vizuri sana tu,na wametuzidi kutokana na ubora wa mchezaji mmoja mmoja
Wamefungwa vizuri sana...Imagine national team imecheza na hakuna ushabiki wala uzalendo, its going down really well.
,ingekua 10 ingefaa zaidi.. nimelala usingizi mzuri sana usiku wa leoWangegongwa 5 ingependeza
Na bado game mbili nazo timu yake itakazwa akiwa anazitazamaImefungwa jana akiwa anaangalia..
Akazwe sana kabisa hakuna namna...Na bado game mbili nazo timu yake itakazwa akiwa anazitazama