Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Linakera mno.Sijui hajioni kuwa watu washamchoka kwa sasa.Lijamaa sijui likoje lile, juzi hapo ametoka kuzomewa badala atulie airejeshe imani kwa mashabiki lakini bado anakuja kufanya ufuska
Hapo juu ulikuw unaponda sub ya jbWaaaaooooo huyo ndio captain fantastic mzee wa miduso
Huyu jamaa ni hatari sana watu walikuwa wana mdisi kuwa mwana kachoka lakini binafsi namuelewa sanaBocooooo..captain fantastic
Ayaaa imekuaje tena?Tumefungwa.
Tumefungwa.
Vp mbona najikanyaga kanyaga ina maana Simba imegawanyika!?Apongezwe chama kwa kazi nzuri
Afu hapa chini najipingaHapo juu ulikuw unaponda sub ya jb