Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawaYaani hata kwa mangumi siwezi kuja kwenye Uzi wenu wa Live.
Zalan 0 Yanga 1
Mayeleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaYaani hata kwa mangumi siwezi kuja kwenye Uzi wenu wa Live.
Mchezo umeanza
Timu zimeshaingia uwanjani kuelekea kuanza kwa mchezo huu
Kikosi cha Nyasa Big Bullets
Kikosi cha Simba kuelekea mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets, leo Jumamosi Septemba 10, 2022, unatarajiwa kuanza saa 10:00 Jioni kwa Tanzania.
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wapo ugenini wakitarajia kushuka katika Dimba la Bingu National Stadium nchini Malawi kukinukisha dhidi ya wenyeji Nyasa Big Bullets katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo unategemewa kuwa wa ushindani ndani ya dimba ambapo Nyasa Big Bullets ni timu ambayo ina wachezaji wenye uwezo kuuchezea mpira miguuni hivyo si timu rahisi, hivyo unatakiwa uwe umejiandaa vilivyo kuchuana nao.
Hivyo basi tunatarajia kuona burudani ya kukonga nyoyo, ambapo Simba SC wakiwa na wachezaji wao mahiri wenye vipaji na experience kubwa kwenye michuano mbalimbali ya CAF watakavyoingia na mbinu ngumu ya kuhakikisha wenyeji wanakuwa na wakati mgumu muda wote wa mchezo.
Kwa yote haya ni ndani ya kuamua...Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 Alasiri..Usikose Ukapata Simulizi..Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Karibu Jopo Zima la Lunyasi Mwifwa, OKW BOBAN SUNZU, Scars, Kinyungu, denooJ, Kalpana, Shunie, Mshana Jr, BRN, Mawawa, mpiga vichwa, koboG, Waminyato, Pettymagambo, SAGAI GALGANO, Troisième Ceil, 3ZOV, Proved, mkwepu jr, Satoh Hirosh, Elli, MTAZAMO, Designer_3434, TUJITEGEMEE, Mac Alpho, Kiweriweri, Donnie Charlie, CHIEF PRIEST, rodrick alexander, Chaliifrancisco, Mtoto halali na hela. Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
===========
Vikosi vyote vya Nyasa Big Bullets na Simba SC vimefika katika Dimba la Bingu National Stadium [emoji2522] tayari kwa mchezo.
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Bingu National Stadium | Nyasa Big Bullets 0-0 Simba SC
05' Mpira umeanza kwa taratibu huku kila timu ikimsoma mpinzani wake.
08' Simba wamemiliki mpira kwa dakika hizi za mwanzo huku wakipata Free Kick na Kona ambazo hazikuzaa mabao.
10' Nyasa wanakosa nafasi ya wazi ya kufunga bao kupitia Babatunde, ilikuwa hatari langoni kwa Simba
15' Timu zinaendelea kusaka ushindi kwa umakini.
20' Hussein anapiga shutii lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick
26' Sakho anaachia Krosi lakini Kibu anachelewa na mpira kuokolewa na mabeki wa Nyasa
29' Phiri Goooooooooooooaaal gooal
Moses Phiri anahesabu bao la kwanza kwa tikitaka | Nyasa Big Bullets 0-1 Simba SC
Simba watandaza Kabumbu, Nyasa wanautafuta mpira dakika hizi, Sakho anapiga Krosi inaambaa kule
39' Nyasa wanafanya mabadiliko, Kajoke ameingia kuchukua nafasi ya Nkhome
42' Phiri yupo chini akipatiwa matibabu, ameinuka mpira unaendelea, Simba bado wana Umiliki wa mpira.
45+2 kuelekea kuwa mapumziko
Anakwenda kwake Sakho, wanachukua Nyasa wanapiga mbele kule lakini golikipa Manula anadaka.
Naaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja dhidi ya Nyasa Big Bullets
HT: Nyasa Big Bullets 0-1 Simba SC
Naona mnarudi sasasawa
Zalan 0 Yanga 1
Mayeleee
Phiri amepiga Acrobatic kama ya Sakho?Ata usihangaike chukua goal la sakho harafu assume ni phiri
Phiri amepiga Acrobatic kama ya Sakho?
Sasa Simba itakuwa inawapa mtihani CAF na kuibebesha tu lawama ionekane Simba inapendelewa maana msimu huu tuzo itakuja lunyasi tena
Hatari sana...Phiri amepiga Acrobatic kama ya Sakho?
Sasa Simba itakuwa inawapa mtihani CAF na kuibebesha tu lawama ionekane Simba inapendelewa maana msimu huu tuzo itakuja lunyasi tena
Laundi ndio nini?Simba atafuzu hatua ya awali na mtani wake watafuzu ,waanze kujipanga laundi ya kwanza
Ambacho hujaelewa ni nini ?Laundi ndio nini?
70'Wakuu dakika ya ngapi huko?
matumaini yapo?
Hawa Nyasa wakija kwa Mkapa inatakiwa tuwashushie kipigo kikali sana
Uzalendo😂😂😂...Hizi sub zinaweza kutugharimuKmmk matola tukifungwa lawama zote kwake....hivi hivi viande bocco,nyoni na mzamiru vinafanya nn uwanjani wakati tuna okwa,okrah na dejan benchi?
Yule lofa tumepiga kelele atimuliwe lakini bado tu hajifunzi anaendelea kuleta ujinga wakeKmmk matola tukifungwa lawama zote kwake....hivi hivi viande bocco,nyoni na mzamiru vinafanya nn uwanjani wakati tuna okwa,okrah na dejan benchi?