BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Mtu mnene🤣🤣🤣Biriani letu limerudi, ahsante Guadiola
According to him"Simba ni timu kubwa, ukiwa pale utakutana na big players na kujifunza mengiii"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mnene🤣🤣🤣Biriani letu limerudi, ahsante Guadiola
Uchebe alijenga msingi lakini tulikuwa tunapigwa khamsa ugenini. Kishingo akaimprove defense.Acha bwana,,,,kwani kati ya kishingo na uchebe nani aliijenga Simba ile ya pasi milioni 60 kwa dakika?
safi kabisa.Uchebe
Ata usihangaike chukua goal la sakho harafu assume ni phiriEbana baadae ntalicheki kwenye highlights kwenye big screen ya 60 inch
Tuliza mshonoHivi hamna Uzi wenu..acheni umalaya
Yaani hata kwa mangumi siwezi kuja kwenye Uzi wenu wa Live.Tuliza mshono
Inabidi iwe hivyo ili tukae sana na mpira na kuacha kufunguka sana au kukimbia sana...hii ni game ya away hivyo tahadhari ni muhimu sana.Biriani letu limerudi, ahsante Guadiola
Profesa amechagua kuongea Kifaransa. Hivyo na Mgunda naye alitakiwa kuongea tu Kiswahili.Si bora hicho cha mgosi kuliko cha professa, au wewe unaonaje?
Kitalaam inaitwa Value for Money, three EsMOSES PHIRI.
thamani ya PESA inaonekana