FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Basi hiyo tu kwangu inatosha, matokeo ni kitu kingine kinachokuja mwishoni ila nidhamu ya mchezo na kujituma ndio kitu nilichopenda kuanza kukiona
Tayari huko mkuu acha kukaa kinyonge, inamaana umesahau kuwa Simba Sc hajawahi kuwa mbovu CAFCL & CAFCC hata kama ligi anambwela?

Amekamata game kama yupo kwa Lupaso, labda afanye ujinga wake mwingine tu wa kuridhika.
 
Daaah hii imenipa hope sana mkuu
 
Hapana sio CAF CL, sasa unategemea nani atakuja kuingia mkataba ili asubirie mechi za CAF tu? Ilitakiwa hawahawa wahakikishe mechi za team za Tz zote zinakuwa fresh, kama ambavyo DStv ana deal na za SA.
Embu badili chanel uangalie yanga vs zalan kama nako hakueleweki
 
Back
Top Bottom