FT: Nyasa Big Bullets 0-2 Simba | CAF Champions League (CAFCL) | Bingu Stadium

Mwanaume mayele ameomba msamaha kwa ushindi mwembamba mimi binafsi nimemsamehe
 
wale mbwa waliokua wanasema Mgunda hana vyeti,sasa Mgunda kawaonyesha kwa vitendo,mmammae zao.
Uwezo wa kufikiria ni mdogo sana. Mgunda kwa siku mbili hawezi kuibadilisha timu, leo hata angekaa Rwelemamu timu ingepata matokeo haya haya zaidi ambacho kilisisitizwa ni morali na saikolojia ya wachezaji ili kutofanya makosa
 
Sio kweli mimi ningekuwa kocha nisingempanga bocco,nyoni wala israel,hixo ingeathiri matokeo
 
Uwezo wa kufikiria ni mdogo sana. Mgunda kwa siku mbili hawezi kuibadilisha timu, leo hata angekaa Rwelemamu timu ingepata matokeo haya haya zaidi ambacho kilisisitizwa ni morali na saikolojia ya wachezaji ili kutofanya makosa
Mlikua mnasema Mgunda hatokaa benchi kwakua hana vyeti,kawaumbua kwa vitendo.kakaa kwenye benchi na ushindi juu.
 
Sawa hatukatai goli la pili lina mchango wake ila bado sana kumuweka Bocco kwenye mechi kama hizi.

Nimetolea mfano wa Mugalu hapo nadhani uki relate utaweza kunielewa
Sijui ni nini Lakini mpaka Leo naendelea kuamini Mugalu alikuwa forward mzuri aliyekosa maelekezo sahihi. Ukiniweke Mugalu na Dejan nitampick Mugalu.
 
Yule waliyembambika u Prof hata sentence moja ya ngeli hamalixi
Hivi Mgunda hata Kifaransa kinapanda?
Nimemsikia vizuri Guardiola upande wa ngeli yuko vizuri;
Mtangazaji: Did you anything about Big Bullets before this match.
Guardiola: I don't know him.
 
Mlikua mnasema Mgunda hatokaa benchi kwakua hana vyeti,kawaumbua kwa vitendo.kakaa kwenye benchi na ushindi juu.
Onesha wapi nimesema hana vyeti? Kwahiyo nawewe ni miongoni mwa mliosema Nabi hatokaa kwenye bench kwasababu hana vigezo?
 
Sijui ni nini Lakini mpaka Leo naendelea kuamini Mugalu alikuwa forward mzuri aliyekosa maelekezo sahihi. Ukiniweke Mugalu na Dejan nitampick Mugalu.
Ubovu wa Mugalu ukiutazama sidhani kama utaweza kuuhusish moja kwa moja na kocha

Mtu anayekosa mabao zaidi ya matatu kwenye mechi moja ni tatizo lake binafsi huwezi kumhusisha kocha
 
Back
Top Bottom