Guardiola yupo pale kama kivuli tu kutokana na sheria za CAF hazimruhusu matola kuwa benchi kama kocha mkuu kutokana na vyeti. Mgunda ni pambo tu la CAF ila Matola ndio anayefanya majukumu yote ya kiufundi kwavile ndiye aliyekaa na wachezaji kwa muda mrefu sanaNadhani sasa amuachie Guardiola Mnene kupanga Kikosi, lakini je atakubali?
Tumeshinda kwa kishindo itoshe kusema tu kuwa Mgunda kuna kitu amekiongeza katika mechi ya leoMlikua mnasema Mgunda hatokaa benchi kwakua hana vyeti,kawaumbua kwa vitendo.kakaa kwenye benchi na ushindi juu.
Dejan tumepigwa na kitu kizito kichwani hilo halina ubishi na ndo mana timu zetu zinasajili theni kocha ndo anaajiliwaSijui ni nini Lakini mpaka Leo naendelea kuamini Mugalu alikuwa forward mzuri aliyekosa maelekezo sahihi. Ukiniweke Mugalu na Dejan nitampick Mugalu.
Kwa leo nyoni hakuwa na umuhimu wa kuingia gemu ilimshinda akawa anatembea tu uwanjan BTW tumeshindaSio kweli mimi ningekuwa kocha nisingempanga bocco,nyoni wala israel,hixo ingeathiri matokeo
Pamoja na yote uloongea lakin nikweli kuwa kuna kitu kimeongezeka kwa leoUwezo wa kufikiria ni mdogo sana. Mgunda kwa siku mbili hawezi kuibadilisha timu, leo hata angekaa Rwelemamu timu ingepata matokeo haya haya zaidi ambacho kilisisitizwa ni morali na saikolojia ya wachezaji ili kutofanya makosa
Eti wanamuita Gadiola mnene wabongo ni nyoko[emoji1][emoji1]Mgunda apewe ulinzi
Guadiola ni Mspanish, kiingereza ana unga unga tu.Mgunda anatema yai
Laleni tu ila huko mbele shida ipo kwa mpira uleNow we can sleep happily
Mpira upi?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huachi kuteseka shougaaa angu, poleeeeeehMgosi mwenzangu Juma Mgunda, wakati mwingine ukihojiwa na mwandishi wa habari jieleze tu kwa kiswahili. Hicho kizungu waachie wenyewe.
Ni ushauri tu lakini.
We mzama chumvini huwa una kiherehere sana aiseeh,[emoji23].SIMBA 1 - 3 JWANENG GALAXY
Mkuu I hope yule kijana jirani yako shabiki kindaki ndaki wa Simba uliyemnunulia jezi mwaka jana umemkumbuka tena safari hii.Ukweli Simba ikifanya vibaya tunateseka sana sisi mashabiki emotionally kuliko hata wachezaji.Hawajui tu jinsi tunavyoteseka,imagine makinda yangu wote Simba,tukifungwa nakuwa na kazi ya kuwasaidia kuwatuliza kuelewa kuwa kupoteza ni sehemu ya mchezo pia.Halafu watufanyie kama Galaxy,manina zao
Mkuu kwa kitendi cha kutonitag hapo list yako imekuwa batili, rudia tenaKaribu Jopo Zima la Lunyasi Mwifwa, OKW BOBAN SUNZU, Scars, Kinyungu, denooJ, Kalpana, Shunie, Mshana Jr, BRN, Mawawa, mpiga vichwa, koboG, Waminyato, Pettymagambo, SAGAI GALGANO, Troisième Ceil, 3ZOV, Proved, mkwepu jr, Satoh Hirosh, Elli, MTAZAMO, Designer_3434, TUJITEGEMEE, Mac Alpho, Kiweriweri, Donnie Charlie, CHIEF PRIEST, rodrick alexander, Chaliifrancisco, Mtoto halali na hela. Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja
Hakuna mshamba hata mmoja hapo[emoji817][emoji322][emoji818]
Mkuu Mshughulishaji kwanza big respect kwani hiyo list katoa mwamba wetu anayetuhabarishaga ishu za kabumbu Ghazwat sio yangu ila pia kasema na wengineMkuu kwa kitendi cha kutonitag hapo list yako imekuwa batili, rudia tena
Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Kwa mbaali kama nitakusamehe hi, si kama wale waliopiga bomb mochuari halafu wanashangilia wameua kwa risasi, wakati kuonesha kuwa aliyeuawa alikua ameshakufa ni kitendo chake cha kuingia hospitali saa saba usikuMkuu Mshughulishaji kwanza big respect kwani hiyo list katoa mwamba wetu anayetuhabarishaga ishu za kabumbu Ghazwat sio yangu ila pia kasema na wengine
Nanukuu: Na wengine wana Lunyasi [emoji881][emoji881][emoji881] Nguvu Moja